Rafiki yangu mpendwa, Karibu tena katika somo jingine katika mfululizo wa masomo kuhusu utoaji wa huduma bora kwa wateja ambayo tuliyaanza wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyoadhimishwa duniani kote tarehe 7-13 Oktoba, 2024. Hadi sasa, tumeshajifunza mengi muhimu kuhusu umuhimu wa kuwahudumia wateja wetu kwa ubora wa hali ya juu. Katika somo hili,…
Kila Siku Unauza Kitu Bila Kujua: Mara zote Fanya Kilicho Sahihi Unapouza
Rafiki yangu mpendwa, Karibu tena kwenye somo lingine la utoaji wa huduma bora kwa wateja, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa masomo tuliyoyaanza wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyoadhimishwa duniani kote tarehe 7-13 Oktoba. Masomo haya ni mchango wangu katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Naamini umeweza kupata maarifa muhimu yanayoweza…
Kila Siku Unauza Kitu Bila Kujua: Elewa Kwa Nini Watu Wananunua Kwako
Rafiki yangu mpendwa, Karibu kwenye makala ya tatu katika mfululizo wa makala ya wiki ya Huduma kwa wateja inayosherehekewa kote duniani katika wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka. Huduma kwa wateja ni moyo wa mafanikio ya shughuli yoyote ikiwemo kazi na biashara, na kuelewa mahitaji ya wateja wako ni ufunguo wa mafanikio hayo.…
Kila Siku Unauza Kitu Bila Kujua: Mjue Mteja Unayemuuzia
Rafiki yangu Mpendwa,Katika wiki hii ya Huduma kwa Wateja, nakukaribisha kwenye sehemu ya pili ya mfululizo wa makala kuhusu Utoaji wa Huduma Bora kwa Wateja. Katika makala ya kwanza tulijifunza kwamba kila mmoja wetu anauza kitu katika maisha, iwe ni bidhaa, huduma, au hata maarifa. Bila shaka, ulichukua muda kutafakari kuhusu kile unachouza. Leo tunajadili…
Kila Siku Unauza Kitu Bila Kujua: Gundua Unachouza
Wengi wetu tunapofikiria juu ya suala la kuuza, tunahusisha mara moja na wafanyabiashara wanaouza bidhaa na huduma mbalimbali. Hata hivyo, dhana hii imejikita katika uelewa finyu wa ukweli wa msingi kwamba kila mtu, kwa namna moja au nyingine, ni muuzaji. Uuzaji hauishii kwa wale wanaofanya biashara pekee, bali unahusu kila mtu katika hali tofauti za…
Epuka Tabia Hizi Mbaya Unapokuwa Katika Mazungumzo – 4
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Tumekuwa na mfululizo wa makala kuhusu tabia ambazo hazifai katika mawasiliano. Tayari tumeshaona tabia mbaya 11 hadi sasa. Karibu katika sehemu ya mwisho ya makala haya ambapo tunaenda kuangalia tabia zingine tano zisizofaa katika mawasiliano. Kusoma makala ya nyuma bonyeza hapa Katika makala ya leo tutaangalia tabia zifuatazo: kujaribu kumshinda…
Epuka Tabia Hizi Mbaya Unapokuwa Katika Mazungumzo – 3
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu tena katika mwendelezo wa makala kuhusu tabia mbaya unazopaswa kuziepuka unapokuwa katika mazungumzo muhimu na mtu. Katika mfululizo wa makala haya, tunaangalia tabia ambazo zinaweza kuharibu mazungumzo yako na mtu au watu wengine. Katika makala yaliyopita tuliangalia tabia mbaya tano. Tabia ya kwanza ni matumizi ya simu wakati wa…
Epuka Tabia Hizi Mbaya Unapokuwa Katika Mazungumzo – 2
Rafiki yangu mpendwa, Karibu katika mwendelezo wa makala kuhusu tabia mbaya unazopaswa kuziepuka unapokuwa katika mazungumzo muhimu na mtu. Katika makala yaliyopita, tuliangalia tabia mbili ambazo zinaweza kuharibu mazungumzo yako na mtu au watu wengine. Tabia ya kwanza ni kumkatiza mtu mwingine anapoongea na tabia ya pili ni kumalizia maneno au sentensi za mtu mwingine.…
Epuka Tabia Hizi Mbaya Unapokuwa Katika Mazungumzo
Rafiki yangu Mpendwa, Je, umewahi kuhisi kutosikilizwa kwenye mazungumzo ya aina yoyote? Labda ulikuwa katikati ya kuzungumza, mtu fulani akakukatiza kabla hujamaliza, au labda ulimaliza kuzungumza ukitegemea kujibiwa ukakutana na ukimya wa kushangaza na ukagundua kuwa mtu uliyekuwa unaongea naye alikuwa anachati kwenye simu na hivyo alikuwa hakusikilizi? Je, ulijisikiaje? Katika mazungumzo ya aina yoyote,…
Hizi Ndizo Kanuni za Matumizi ya Simu ambazo Watu Wastaarabu Huzifuata
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Katika ulimwengu wa leo uliogubikwa na teknolojia, mawasiliano ya simu ni sehemu muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku. Simu za zimekuwa zikitumika kwa kiasi kikubwa katika mawasiliano ya binafsi na ya kikazi. Hata hivyo, ni muhimu kufuata kanuni za adabu na mienendo sahihi katika matumizi ya simu ili…