Epuka Tabia Hizi Mbaya Unapokuwa Katika Mazungumzo – 4

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Tumekuwa na mfululizo wa makala kuhusu tabia ambazo hazifai katika mawasiliano. Tayari tumeshaona tabia mbaya 11 hadi sasa. Karibu katika sehemu ya mwisho ya makala haya ambapo tunaenda kuangalia tabia zingine tano zisizofaa katika mawasiliano. Kusoma makala ya nyuma bonyeza hapa Katika makala ya leo tutaangalia tabia zifuatazo: kujaribu kumshinda…

Epuka Tabia Hizi Mbaya Unapokuwa Katika Mazungumzo – 3

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu tena katika mwendelezo wa makala kuhusu tabia mbaya unazopaswa kuziepuka unapokuwa katika mazungumzo muhimu na mtu. Katika mfululizo wa makala haya, tunaangalia tabia ambazo zinaweza kuharibu mazungumzo yako na mtu au watu wengine. Katika makala yaliyopita tuliangalia tabia mbaya tano. Tabia ya kwanza ni matumizi ya simu wakati wa…

Epuka Tabia Hizi Mbaya Unapokuwa Katika Mazungumzo – 2

Rafiki yangu mpendwa, Karibu katika mwendelezo wa makala kuhusu tabia mbaya unazopaswa kuziepuka unapokuwa katika mazungumzo muhimu na mtu. Katika makala yaliyopita, tuliangalia tabia mbili ambazo zinaweza kuharibu mazungumzo yako na mtu au watu wengine. Tabia ya kwanza ni kumkatiza mtu mwingine anapoongea na tabia ya pili ni kumalizia maneno au sentensi za mtu mwingine.…

Epuka Tabia Hizi Mbaya Unapokuwa Katika Mazungumzo

Rafiki yangu Mpendwa, Je, umewahi kuhisi kutosikilizwa kwenye mazungumzo ya aina yoyote? Labda ulikuwa katikati ya kuzungumza, mtu fulani akakukatiza kabla hujamaliza, au labda ulimaliza kuzungumza ukitegemea kujibiwa ukakutana na ukimya wa kushangaza na ukagundua kuwa mtu uliyekuwa unaongea naye alikuwa anachati kwenye simu na hivyo alikuwa hakusikilizi? Je, ulijisikiaje? Katika mazungumzo ya aina yoyote,…

Hizi Ndizo Kanuni za Matumizi ya Simu ambazo Watu Wastaarabu Huzifuata

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Katika ulimwengu wa leo uliogubikwa na teknolojia, mawasiliano ya simu ni sehemu muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku. Simu za zimekuwa zikitumika kwa kiasi kikubwa katika mawasiliano ya binafsi na ya kikazi. Hata hivyo, ni muhimu kufuata kanuni za adabu na mienendo sahihi katika matumizi ya simu ili…

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufanya Unapopata Fedha Nyingi Ili Usiishie Kufa Maskini

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu tena katika mwendelezo wa makala juu ya nini husababisha baadhi ya watu wanaopata fedha nyingi kuishia kuwa maskini wa kutupwa. Tayari tulishangalia makundi ya watu wanaopata fedha nyingi na makundi gani yenye uwezekano mkubwa wa kuishiwa fedha na kuwa maskini na nini kinapelekea hali hiyo.   Kabla ya kuendelea…

Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Baadhi ya Watu Wanaopata Fedha Nyingi Huishia kuwa Maskini- 2

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Je, umewahi kushuhudia mtu anapata fedha nyingi sana ambazo zingeweza kumtoa katika umaskini, lakini baada ya muda anakuwa hana fedha tena na anaishia kuwa umaskini wa kutupwa? Unajua kwa nini? Zipo sababu nyingi zinazopelekea hali hii. fuatana nami katika makala haya ambapo tutajadili baadhi ya sababu hizo.  Sababu tutakazojadili zinawahusu…

Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Baadhi ya Watu Wanaopata Fedha Nyingi Huishia kuwa Masikini

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Bila shaka umewahi kushuhudia mtu anapata fedha nyingi sana ambazo zingeweza kumtoa katika umaskini. Lakini cha kushangaza mtu huyo baada ya muda anakuwa hana fedha ten ana anaishia kuwa umaskini. Tena siyo umaskini wa kawaida bali umaskini wa kutupwa kana kwamba hajawahi kupata fedha nyingi. Kama umekuwa ukijiuliza kwa nini…

Waraka wa Wazi kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu 2023- sehemu ya 4

Unaweza Kuanzia Wapi Katika Safari ya Kujiajiri? Rafiki yangu Mpendwa, Karibu tena mpenzi msomaji katika mwendelezo wa waraka kwa wahitimu wa elimu ya juu. Katika sehemu iliyopita ya waraka wangu, nilikuahidi kuwa  nitakushauri ni wapi unaweza kuanzia katika safari yako ya kujiajiri baada ya kumaliza masomo yako. Najua kabisa ya kwamba nikikuambia ujiajiri, utanijibu kuwa…

Waraka wa Wazi kwa Wahitimu wa Elimu ya Juu 2023- sehemu ya tatu

Kabla hujaingia kwenye ujasiriamali soma hapa kwanza Karibu tena mpenzi msomaji katika mwendelezo wa waraka wa wazi kwa wahitimu wa elimu ya juu wa mwaka 2023. Katika makala yaliyopita ambayo ilikuwa sehemu ya pili ya waraka huu, nilikupatia mambo kadhaa unayopaswa kuyafahamu kabla hujaanza kusaka ajira. Kati ya mambo hayo, nilikushauri kufanya maamuzi ya kujiajiri…