Taharuki Iliyotokea Kuhusu Nyongeza ya Mshahara Inatufundisha Nini?

Rafiki yangu Mpendwa katika Krsito, Kuanzia ijumaa ya wiki iliyopita (Julai 22, 2020) kuliibuka taharuki na na mijadala mikali iliyojaa malalamiko kutoka watumishi wa umma. Kilichosababisha taharuki na mjadala ni ongezeko la mshahara. Kama hukusikia chchocte kuhusu taharuki hiyo unaweza kushangaa kwamba inakuwaje watu waongezewe mshahara halafu wapate taharuki na waibuke na malalamiko badala ya…

Unajua Fedha Zako Zinaenda Wapi?

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia kuna vitu huwa vinamshangaza kwenye matumizi ya fedha. Kwanza, akipata fedha, huwa huwa hahangaiki kukaa chini na kupanga azitumieje lakini zinapoisha tu ndipo mawazo na mipango mizuri huwa inamjia akilini mwake. Wakati bado fedha hizo zipo mipango hiyo huwa haiji akilini. Pili, huwa hawezi kueleza…

Hizi Ndizo Sababu zinazazowafanya Wanawake Kuchepuka Nje ya Ndoa

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, “Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu” (Waebrania 13:4). Haya ni maelekezo ya Mungu yenye lengo la kuwafanya wanandoa wasifanye tendo la ndoa na mtu mwingine asiye mwenzi wao wa ndoa. Hata hivyo, hali halisi haiku hivyo, baadhi ya…

Biblia inasemanaje kuhusu Injili ya Mafanikio? – 5

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu tena katika mfulululizo wa makala kuhusu injili ya mafanikio. Hadi sasa tumeshambua mafungu mengi yanayobainisha kuwa injili ya mafanikio kama inavyofundishwa na wahubiri wengi inavyopingana na Biblia. Katika makala haya ya mwisho katika mfulululizo huu tutaangalia namna ambavyo injili ya mafanikio inavyopotosha dhana nzima ya utii wa wanadamu kwa…

Biblia Inasemaje Kuhusu Injili ya Mafanikio?- 3

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Karibu katika sehemu ya tatu ya mfululizo wa makala kuhusu injili ya mafanikio ambapo tunaangalia Biblia inasemaje kuhusu injili hiyo. Leo, tutaona namna ambavyo injili ya mafanikio inavyopotosha tabia ya Mungu kuhusu upendo na namna ambavyo injili hiyo inamfanya mwanadamu awe kiumbe cha kufikirika tu. Karibu tujifunze pamoja. Kupata makala…

Biblia inasemaje Kuhusu Mafundisho ya Injili ya Mafanikio?-2

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Mojawapo ya fundisho maarufu katika ukristo katika zama hizi ni injili ya mafaniko (prosperity gospel) au injili ya utajirisho. Injili hii inafundisha kuwa ukiwa mkristo mwaminifu una uhakika wa mafanikio kama vile utajiri, afya njema na kadhalika. Kwa mujibu wa mafundisho kuhusu njili ya mafanikio, mojawapo ya ishara kuwa wewe…

Kama Unataka Usife Mapema Baada ya Kustaafu, Soma Hapa

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Hivi umeshawahi kujiuliza, ikitokea umestaafu na ukacheleweshewa mafao yako kwa muda wa miezi sita au zaidi, maisha yako na ya familia yako yatakuwaje? Swali jingine, ambalo nakuomba ujiulize ni hili: Unajua kwamba pensheni utakayokuwa unalipwa kila mwezi baada ya kustaafu ni ndogo kuliko mshahara wako wa sasa? Kama unajua, je,…