Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Watu Hutafuta Utajiri Kwa Njia za Kishirikina
Mpenzi msomaji, Tunaendelea na mfululizo wa makala kuhusu uhusiano wa ushirikina na mafanikio ya kiuchumi. Katika makala yaliyopita tuliona kwa nini waganga wanaweza kuwapatia watu wengine dawa au mbinu za kuwa matajiri wakati wao ni masikini. Na pia tuliangalia jinsi ambavyo unaweza kutumia mbinu wanazotumia waganga hao bila ya wewe kuwa mshirikina na ukafikia mafanikio … Read more