Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Mojawapo ya fundisho maarufu katika ukristo katika zama hizi ni injili ya mafaniko (prosperity gospel) au injili ya utajirisho. Injili hii inafundisha kuwa ukiwa mkristo mwaminifu una uhakika wa mafanikio kama vile utajiri, afya njema na kadhalika. Kwa mujibu wa mafundisho kuhusu njili ya mafanikio, mojawapo ya ishara kuwa wewe…
All posts in IMANI
Biblia Inasemaje kuhusu Mafundisho ya Injili ya Mafanikio?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Kutokana na ongezeko la madhehebu ya Kikristo hapa nchini na duniani kwa ujumla, kumekuwa pia na ongezeko la mafundisho ya kila aina kuhusu masuala mbalimbali ya imani ikiwemo suala la mafanikio ya kiuchumi. Baadhi ya wahubiri wamekuwa na ujumbe rahisi: Mungu anataka kukubariki, na ushahidi wa baraka hiyo ni kuwa…
Hii Ndiyo Sababu Kwa Nini Unapaswa Kutoa Zaka
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Watu wengi wakiwemo wakristo, hutafuta mafanikio ya kifedha ili wafaidike wao wenyewe na familia zao tu. Lakini haipaswi kuwa hivyo, badala yake fedha unapoipata, kabla ya hata hujaanza kuitumia yakupasa kumpatia Mungu kilicho chake kama Neno la Mungu linavyosema “Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya…
Kwa utaratibu wa Biblia, si kila mhitaji lazima asaidiwe
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Ni wajibu wa wakrisito kuwasaidia wahitaji katika jamii. Hivyo, zaidi ya kutoa zaka na sadaka kanisani, wakristo yawapasa kutenga kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kuwasaidia wahitaji. Suala hili ni la kibiblia maana ziaidi ya kusisitizwa katika maadniko, ipo mifano mingi katika maandiko ya watu waliotoa misaada kwa wahitaji.…
Kama Mungu ana uwezo wa kutulinda sisi na mali zetu, kwa nini tukate bima ?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Kuna mitazamo tofauti miongoni mwa wakristo kuhusu suala la bima. Wapo wanaounga mkono kukata bima ya aina yoyote lakini wapo wengine ambao wana mtazamo kuwa kukata bima kunaonesha upungufu wa imani juu ya uweza wa Mungu. Kwa sababu ya mgawanyiko huu wa mtazamo, tutajadili kidogo suala hili. Kwanza ieleweke kuwa,…
Je, Mungu anajali unavyovaa na kujipamba?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Baadhi ya watu hudhani kuwa namna mtu anavyoonekana kwa watu wengine si muhimu ili mradi tu ndani ya moyo wake yuko safi wakidai kuwa Mungu haangalii nje bali anaangalia ndani ya moyo tu. Je, ni kweli Mungu anaangalia muonekano wa ndani pekee na hajali kabisa mwonekano wa nje? Ni kweli…