Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufundisha na Kuhubiri Watoto kwa kutumia Visa  na Maigizo-2

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufundisha na Kuhubiri Watoto kwa kutumia Visa  na Maigizo-2

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Naomba nikukaribishe katika mwendelezo wa makala kuhusu matumizi ya visa katika kufundisha na kuhubiri watoto. Katika sehemu iliyopita, tuliona mambo muhimu matano ya kuzingatia unapofunidsha au kuhubiri kwa kutumia visa. Kusoma makala iliyotangulia, bonyeza hapa Leo, naomba nikushirikishe mambo mengine muhimu. Mambo hayo ni kama ifuatavyo: Fahamu hadhira yako: Kwa…

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufundisha na Kuhubiri Watoto kwa kutumia Visa

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kufundisha na Kuhubiri Watoto kwa kutumia Visa

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Zipo njia nyingi zinazotumika katika kufundisha na kuhubiri watoto wa umri mbalimbali kanisani, nyumbani na katika vipindi vya dini mashuleni. Kati ya njia hizo visa na hadithi ni njia ambayo inatumiwa na walimu na wahubiri wengi wa watoto pengine kuliko njia nyingine zote. Yesu Kristo mwenyewe alitumia sana visa  kufikisha…

Hivi Ndivyo unavyoweza kuchagua Mada na Mafungu ya Kutumia Katika Hubiri Lako

Hivi Ndivyo unavyoweza kuchagua Mada na Mafungu ya Kutumia Katika Hubiri Lako

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Kila hubiri lina ujumbe ambao unaenda kwa hadhira. Kwa kuwa kiini cha hubiri lolote ni maandiko, ujumbe wako lazima utoke kwenye maandiko. Hivyo, moja ya vitu vya kwanza kufikiria unapoandaa hubiri lako ni fungu au mafungu utakayotumia kwenye hubiri lako. Lakini pia, badala ya kuanza kufikiria fungu utakalotumia, unaweza kuanza…

Je, Unajua Kuna Aina Ngapi za Mahubiri?

Je, Unajua Kuna Aina Ngapi za Mahubiri?

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mhaubiri, bila shaka ulishagundua kuwa zipo aina nyingi za mahubiri ya kutegemeana na aina ya tukio au ibada, aina ya hadhira, aina ya mhubiri na kadhalika. Vilevile, aina ya mahubiri, yanaweza kutofautiana kulingana na namna unavyoamua kuyaainisha. Katika makala hii, naenda kukushirikisha ina kuu tano za mahubiri. Mhubiri anaweza…

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuwafundisha Watoto Wako Elimu ya Fedha

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuwafundisha Watoto Wako Elimu ya Fedha

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Watoto ni zawadi, thawabu na urithi kutoka kwa Mungu (Zaburi 127:3). Baada ya wana wa Israeli kutoka katika nchi ya Misri, Mungu aliwapa maelekezo mahususi tena kwa kurudiarudia kuhusu kuwafundisha watoto wao kile alichokuwa amewafundisha (Kumbukumbu la Torati 4:9-10, 40; 5:29; 6:2-9; 11:18-21). Bila shaka, Mungu alitaka mafanikio yanayotokana na…

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuandaa Kichwa Kizuri cha Hubiri Lako

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuandaa Kichwa Kizuri cha Hubiri Lako

Rafiki yangu Mpendwa Katika Kristo, Kichwa cha hubiri ni kitu muhimu sana katika hubiri. Pamoja na kuwa muhimu, baadhi ya wahubiri wa injili wana mtazamo kuwa kichwa cha hubiri siyo kitu cha msingi sana katika maandalizi ya hubiri. Ndiyo maana baadhi ya wahubiri huwa hawana kichwa cha hubiri. Kwa nini kichwa cha hubiri ni muhimu?…

Hii ndiyo tofauti kati ya kuhubiri na kufundisha

Hii ndiyo tofauti kati ya kuhubiri na kufundisha

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Kabla Bwana wetu Yesu Kristo hajapaa kwenda mbinguni, alitupatia wajibu muhimu unaohusiana na kuwaandaa watu kwa ajili ya ufalme aliokuwa anaenda kutuandalia. Wajibu huo ni kuhubiri habari njema za wokovu kutoka kwa Mungu, yaani Injili na vilevile kuwafundisha watu kuyashika maelekezo yote ya Mungu. Agizo la Yesu kuhusu wajibu huu…

Hii  Ndiyo Siri ya Kuwa Mhubiri Bora

Hii  Ndiyo Siri ya Kuwa Mhubiri Bora

Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Mojawapo ya wajibu mkuu ambao Mungu amelikabidhi kanisa ni kuhubiri Injili, yaani kueneza habari njema za wokovu. Ni agizo alilolitoa Yesu kwa wafuasi wake. “Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe “(Marko 16:15). Kutokana na idadi ndogo ya wachungaji katika makanisa mengi, mahubiri mengi makanisani na yale ya…