Rafiki yangu mpendwa katika Kristo Tafiti zilizofanyika katika nchi mbalimbali duniani zinaonesha kuwa mojawapo ya mambo yanayoongoza kusababisha migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa ni fedha. Fedha zinaweza kuchangia migogoro katika ndoa kwa namna nyingi. Namna mojawapo ni kukosa uwazi katika masuala ya fedha baina ya wanandoa. Inasikitisha kwamba, kuna ndoa ambazo, mume na mke…
All posts in MAHUSIANO
Hivi Ndivyo Mnavyoweza kusimamia Fedha katika Ndoa Yenu
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Mtu mmoja aliwahi kusema “kila ndoa ina rangi yake” akiwa na maana kuwa ndoa hazifanani katika namna wanandoa wanavyoendesha mambo yao. Moja ya mambo ambayo kuna tofauti kubwa kati ya ndoa moja na nyingine ni namna wanandoa wanavyosimamia pesa zao. Kuna aina mbalimbali za wanandoa kuhusiana na namna wanavyosimamia masuala…
Fedha yako inaweza kuimarisha au kubomoa Ndoa yako
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Tafiti zilizofanyika katika nchi mbalimbali zinaonesha kuwa mojawapo ya mambo yanayooongoza kusababisha migogoro na kuvunjika kwa ndoa ni fedha. Kwa mfano, Mwaka 2017, kampuni moja ya kimarekani inayojishughulisha na utafiti na utoaji wa elimu ya masuala ya fedha itwayo Ramsey solutions, ilifanya utafiti uliowahusisha watu 1072 nchini humo. Lengo la…