Kama Mungu ana uwezo wa kutulinda sisi na mali zetu, kwa nini tukate bima ?
Rafiki yangu mpendwa katika Kristo, Kuna mitazamo tofauti miongoni mwa wakristo kuhusu suala la bima. Wapo wanaounga mkono kukata bima ya aina yoyote lakini wapo wengine ambao wana mtazamo kuwa kukata bima kunaonesha upungufu wa imani juu ya uweza wa Mungu. Kwa sababu ya mgawanyiko huu wa mtazamo, tutajadili kidogo suala hili. Kwanza ieleweke kuwa, … Read more